Ilikuwa zamani mkuu, siku hizi sim card zina security ya ajabu.
Network provider wanavyo identify card number huwa wana authenticate Ki numbers zilizo kwenye laini, na wewe kuzi identify ili ufanye cloning ya laini nyingine sio kazi rahisi.
Tutadanganyana hapa.