Msaada wa shule za A level Moshi na Arusha

dy/dx

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
613
Reaction score
112
Wadau naomba mnijulishe shule za private za A level zenye combination HKL au HGL au EGM zilizopo maeneo ya Moshi na Arusha. Natanguliza shukrani wakuu
 
Bendeli (MOSHI for boys only), Edmundi rise (ARUSHA), st. Teresa (ARUSHA, only for girls) Majengo (MOSHI) Ungwasi( ROMBO KILIMANJARO), kiraeni girls (ROMBO KILIMANJARO), Shauri tanga (ROMBO KILIMANJARO), kolila (MOSHI), inaboishu (ARUSHA) Arusha Meru,(day school , ARUSHA) hizi ni baadhi ya shule ninazo zifaham lakini the best ni shule ya Bendeli memoria iko Moshi mjini. Kaangalie matokeo ya wanafunzi wake wa o level na advance nauhakika utaikubali.
 
Asanteni wakuu nilisahau kumention ni za wasichana nahitaji
 
Bendeli (MOSHI for boys only), Edmundi rise (ARUSHA), st. Teresa (ARUSHA, only for girls) Majengo (MOSHI) Ungwasi( ROMBO KILIMANJARO), kiraeni girls (ROMBO KILIMANJARO), Shauri tanga (ROMBO KILIMANJARO), kolila (MOSHI), inaboishu (ARUSHA) Arusha Meru,(day school , ARUSHA) hizi ni baadhi ya shule ninazo zifaham lakini the best ni shule ya Bendeli memoria iko Moshi mjini. Kaangalie matokeo ya wanafunzi wake wa o level na advance nauhakika utaikubali.

Shukrani sana Helper ubarikiwe
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom