Kite Munganga
Platinum Member
- Nov 19, 2006
- 1,773
- 952
Nina mtoto wa ndugu yangu ambaye nilitegemea atachaguliwa kujiunga na shule za serikali lakini imekuwa sivyo, sasa naomba kujulishwa kuwa ni wapi naweza pata shule ya secondary ya kulipia, na taratibu za kujiunga inakuwaje si mbaya nikipata hata contact adress/mobile za shule husika, ningependelea zaidi shule iwe ya Boarding tafadhalini msaada wenu ni muhimu
kama alikua ndani ya div1-3 lazima atachaguliwa kama ni form v au chuo cha ufundi.kama hajaona jina lake fatilia hata wizarani,safari hii wamechagua watoto wote walio ndani na grade hizo.mimi ndugu yangu wamempangia shule mbili tofauti.
na kuhusu shule nzuri ya boarding inategemea na uwezo wako kifedha na pia mahitaji yako kwa nduguyo eidha unataka shule yenye maadili ya kidini nk.au ya kike tu sio ya mchanganyiko.zipo nyingi. i ll be back soon.
META SEKONDARI SKUUNina mtoto wa ndugu yangu ambaye nilitegemea atachaguliwa kujiunga na shule za serikali lakini imekuwa sivyo, sasa naomba kujulishwa kuwa ni wapi naweza pata shule ya secondary ya kulipia, na taratibu za kujiunga inakuwaje si mbaya nikipata hata contact adress/mobile za shule husika, ningependelea zaidi shule iwe ya Boarding tafadhalini msaada wenu ni muhimu
Nashukuru kwa kunipa moyo, na labda niwe muwazi kidogo, kijana huyu alipata division Three (III) ya point 25 matokeo ni kama ifuatavyo
CIV-C, HIST-D, GEO-D, KISW-D, ENGL-D, PHY-D, CHEM-C, BIO-D, B/MATH-C,
Ukweli ningependa shule ya Boarding ya kiwango cha kati
Nashukuru kwa kunipa moyo, na labda niwe muwazi kidogo, kijana huyu alipata division Three (III) ya point 25 matokeo ni kama ifuatavyo
CIV-C, HIST-D, GEO-D, KISW-D, ENGL-D, PHY-D, CHEM-C, BIO-D, B/MATH-C,
Ukweli ningependa shule ya Boarding ya kiwango cha kati
META SEKONDARI SKUU
ipo jijini Mbeya
ni shule nzuri sana kwa sasa
hamna wahuni kama miaka ya 2000
kurudi nyuma, so mpleke pale
Kwa hizi marks mbona hata srikalini anawezakupata kabisa, labda fuatilia wizarani watampangia tu, kwa ninavyojua si wote waliopangiwa form five wataenda kuripoti shule za serikali, Labda kama uwezo wako wakipesa ni mzuri basi mpeleke private. Ila angalia na historia ya shule kama huwa inafaulisha au la, ila kwa Alevel hata shule za serikali ni nzuri tu manake kinachomatter ni jitihada ya mtoto na pia zinamuandaa mtoto vizuri kwa ajili ya masomo ya elimu ya juu manake atajifunza kutafuta material mwenyewe badala ya kuwa spoon feeded kwenye shule za private hasa zinazofaulisha sana.
At the end inaweza kumsumbua mbeleni. Shule za serikali ni nzuri ila zile zilizoko mjini (miji mikubwa ndo walimu wanapatikana) kama ni ya kata usilogwe manake utakuwa unapalilia zero ya form six
Hajapata PCM??? Umecheki matokeo?
Unataka shule ya boarding mkoa gani?
Wanduguzi mwenzenu bado naomba msaada wa shule