Wana J-f
Poleni na majukumu,nina mdogo wangu wa kike alipata ajali na kukatwa mguu mmoja juu ya goti.Ajali ni kwamba alikuwa kituo cha daladala gari la mtu binafsi likapoteza muelekeo na kumgonga,matokeo yake hospitali hatimaye mguu ukakatwa.Yote tumemshukuru Mungu.Tulihangaika kumtibu na sasa anaendelea vizuri tu psycologically.
Tumefuatilia insurance na mawakili mbalimbali wamefuatilia lakini matokeo ni kwamba anatakiwa alipwe tu milioni 8.Sisemi malipo yoyote yale yanaweza kuurudisha mguu wake lakini nadhani kuna mambo nyuma ya pazia na hawa mawakili.Nadhan mguu wa bandia its more than 20m,mbona haya malipo hayaendani na madhara ambayo yametokea?au insurance haiangalii vitu hivyo wakati wa malipo?Hatuna uwezo wa kulipa wakili tena ila naomba kama kuna mwanasheria anifafanulie utaratibu na pia ikiwezekana atusimamie na malipo yawe baada ya kesi kuisha.Yeyote anaweza kuchangia lakini katika hili sihitaji masikhara kwa maumivu tuliyonayo.ukiona huna cha kuchangia kuliko kuniudhi nakuomba nisamehe tu pita.
Ofisi za TIRA zipo wapi?Kama utaweza kufika kwenye ofisi za TIRA, watakupa ufafanuzi mzuri na kuilazimisha iyo kampuni kukulipa kisawasawa.
Ofisi za TIRA zipo wapi?
TlRA ni nini mkuu na ofisi zao ziko wapi?
Nipo Songea kwa sasa hadi end of september ila mdogo wangu yupo Daresalaam
Unaweza kunielekeza ofisi zilipo mkuu?nahitaji mwanasheria kwa hili jambo?Ni regulator wa insurance companies zote hapa nchini na kwa Dsm ziko maeneo ya posta. Wewe uko mkoa upi?
Unaweza kunielekeza ofisi zilipo mkuu?nahitaji mwanasheria kwa hili jambo?
Asante sana mkuu je hawa ni huru au ndio haohao wanajuana tena na insurance zote kwa hyo ni mambo ya nyuma ya pazia bado?samahan kwa usumbufu na asante sana tena!Headquarters
TIRA HOUSE, Block 33, Plot No. 85/2115, Mtendeni Street,
P. O. Box 9892,
DAR ES SALAAM - Tanzania
Tel:+255(022)2132537/2116120/2116131
Fax: +255(022)2132539
Email: coi@tira.go.tz
Website: www.tira.go.tz
Asante sana mkuu je hawa ni huru au ndio haohao wanajuana tena na insurance zote kwa hyo ni mambo ya nyuma ya pazia bado?samahan kwa usumbufu na asante sana tena!
Ni jukumu lao kusimamia Insurance companies kutenda haki kwa wateja wake. Na sidhani kama watakua hivyo.
Thanks man u are one great guy!!!
Kwanza natoa pole sana kwa masahibu yaliyowakuteni, ndio mambo ya maisha lakini. Nikija kwenye suala lako, hujafafanua vizuri kuhusu hiyo milioni 8 kama ilikubaliwa kulipwa na kampuni ya bima katika majadiliano nao au kwa amri ya mahakama (yaani hujasema kama malipo yalifikiwa nje ya mahakama bila kuwapo kesi ya madai au kwamba mlifungua kesi ya madai mahakamani).Wana J-f