Temporary01
JF-Expert Member
- May 12, 2011
- 260
- 70
salary slip ndio nini?
salary slip ndio nini?
salary slip ndio nini?
a slip of paper included with a person's salary payment, that records how much money the person has earned and how much deductions are there i.e. tax or p.a.y.e, pensions, loan, etc. has been taken out!
asante mkuu umenisaidia.
Mshahara napata ila kuna malipo wanayonipunja.
Siwezi kufuatilia bila kuwa nazo. Pia ninampango wa kuchukua mkopo japo baadae.
nenda wizara ya fedha/hazina dsm kitengo cha mishahara ya watumishi ukiwa na cheque number yako pamoja na kitambulisho chako ni kazi ya less than 5 minutes
ok nimekuelewa seniorlecture ia slip of paper included with a person's salary payment, that records how much money the person has earned and how much deductions are there i.e. tax or p.a.y.e, pensions, loan, etc. has been taken out!
nenda idara ya uhasibu kitengo cha mishahara makao makuu ya wizara yako, onyesha check no na jina lako utasaidiwa
idara ya fedha mshahala ukija unakuja na kitu kinaitwa payslip ambayo inafanana kabisa na salary slip nenda idara ya fedha wakutolee copy uitumie kama salary slip
Mshahara hupati?...kama unapata mshahara haina maneno...au unataka kuchukua mkopo?...kwangu mm kama mshahara wangu naukuta kwenye akaunti uko kamili kulingana na daraja langu la mshahara,,hakuna shida, unless otherwise nataka kuukopea mshahara wng...ni hayo tu....ngoja tuwasikie na wengine wanasemaje kumbuka maneno yangu siyo sheria.
Mambo yamerahisishwa sana, huna haja ya kusafiri kwenda Wizarani, nenda HR Office mahali unakofanyia kazi na ataprint salary slip kutoka kwenye mfumo unaoitwa LAWSON!
qkumbavu. wenzio wakisha chukua salary slip zako tatu zinazofuatana wanachukua mkopo kwa jina lako halafu wewe unakatwa mshahara. kalagabaho jitu la mkoa