Msaada wa research topic masters

Plagirilism is just improper citation. Recently paraphesing is strictly prohibited. How about modification? Unafahamu software called "turn it in"? Hapo utawataka Udsm wanasubiri tu ulete hayo matakata yenye originality 20%. Wanataka mawazo yako original yawe supported na scholars wengine masters hapa imekuwa moto.
 
....Sijakuambia unifanyie Research bali mawazo tu, hii pia ni njia mojawapo ya kupata title nzuri coz hapa mtandaoni naamini kunavichwa vingi...by the way refer to 'Delphi technique' utanielewa nnachomaanisha...
 
Asante sana mkuu nimejifunza kitu,...
 

safi sana uko vizuri.
 
HOW MOBILE MONEY AFFECT INDIVIDUAL ECONOMY?........VP HIYO TOPIC IME COOL AU......?
 
Mobile Money namaanisha Mpesa,Tigo pesa and related.
Ndo mambo ya maharage ya mbeya haya
 
...taja bei yako nikupe full mzigo wa research...
 
Mkuu research zote zinazofanywa zinarudiwa hakuna jipya,Kuna Dr mmoja anaitrwa safari anasema watu tayari washa_search ndo maana now inaitwa research.
IRDP useless fellow don't misref Dr. Safari
 
The role of mobile money as perceived by rural community... a case of tandahimba..kagera.. morogoro rural etc
 
kutafuta ushauri ni bora zaidi kuliko kujifanya unajua ukaharibuu...acheni kukatisha MTU tamaa kaja kuuliza iliapate ushauri ajaja kurumbana kama mnavyo fanya...kama huna LA kumshauri kaa kimya sio unabwabwaja tu bila logic....aulizae si mjinga ila ataka kujua....
 
Habari zenu wadau mimi ni mwanafunzi wa masters nategemea kufanya dessertation.Hivyo naomba mawazo juu ya topic nzuri ya research.
NB:Wazo lako lijikite katika masuala ya Mobile Money,sababu niko interested eneo hilo. Karibuni.
Tafuta tatizo la kawaida/hot ambalo wakati wa kulifanya halitokugharimu pesa nyingi, na upatikanaji wake wa data uwe wa njia ambayo haiitaji approval ya Authorities. Data zake zipatikane kwa ama njia ya administration of Questionnaire au Observation.
 
Point nzuri kaka ila inapendeza mtu anapoomba ushauri anakuja na mawili matatu (ideas) ambazo anadhani anatamani afanye alafu watu wanajazia au wengine wanamshauri vininevyo kikubwa mwisho wa siku ile idea yake inakuwa imezaa kitu kingine kutokana na contribution, amefanya vyema kuleta hapa jamvini ila mie ningemuuliza hapo kwenye mobile money nini hasa anatamani kufahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…