habari wanajamvi? msaada kama ninaweza kupata key za data recovery PRO kwasababu nimeformat data katika local disc hivyo nimejaribu kurecover vitu vyote vinaonekana lakini inasema hadi niwe na hizo recovery key,,,msaada wenu jamani wana jamvi
Toa hela..any way kuna tool ya bure (free) inaitwa testDrive. Ni nzuri kinyama ila ni command based so inatakiwa uwe mshapu kidogo kuweza ku itumia. Soma instruction vizuri.
Tumia sofware nyingine inaitwa EUSEUS DATA RECOVER DOWNLOAD NI FREE INAKURUDISHIA DATA ZOTE KAMQ ZILIVYO, NILIHARIBU HARD DISK IKAWA IMEKUFA COMPLEETLY KWAMBA INAANDIKA Local disk tu afa amna chochote inagonga nikatumia hiyo ikarudish zote 1.5Terabite