Hiyo 15ml ukijibana sana utainua boma bila kuezeka. Ukitaka uezeke kwa hiyo 15ml itakubidi ujenge vyumba vidogo sana kiasi kwamba hata room za hostel za wanafunzi zitakuwa kubwa. Kama ndiyo pesa pekee uliyonayo, basi, jenga chumba na sebule, inaweza kumaliza.