Nimekuwekea hiyo,kama utaitaji maelezo zaidi utaniambia
KanuniMimi ni mwalimu ninashida ya templets ya excel ambayo ukiingiza matokeo ya mtihani inapanga grade na division bt iwe inagrade kwa mfumo wa sasa {Daraja A,B,C,D,na E}
=IF(C4>=75%,"A",IF(C4>=60%,"B+",IF(C4>=50%,"B",IF(C4>=40%,"C",IF(C4>=30%,"D",IF(C4>=20%,"E","F"))))))
Mimi ni mwalimu ninashida ya templets ya excel ambayo ukiingiza matokeo ya mtihani inapanga grade na division bt iwe inagrade kwa mfumo wa sasa {Daraja A,B,C,D,na E}
Nyasiro na wadau wengine msaada plse
Kanuni
"C" ni column ya Alama katiaka Asilimia Credit PromenthousCode:=IF(C4>=75%,"A",IF(C4>=60%,"B+",IF(C4>=50%,"B",IF(C4>=40%,"C",IF(C4>=30%,"D",IF(C4>=20%,"E","F"))))))