EMMANUEL G MAYEMBA
Member
- Dec 7, 2011
- 16
- 0
Ndugu zangu wana JF ninamiliki duka la rejareja na natamani kuliendesha kitaalamu kwa kutumia POS SYSTEM naombeni munipe msaada niipi POS software nzuri na hadware wapi nitapata? ASANTE
Ndugu zangu wana JF ninamiliki duka la rejareja na natamani kuliendesha kitaalamu kwa kutumia POS SYSTEM naombeni munipe msaada niipi POS software nzuri na hadware wapi nitapata ASANTE
Watafute Exact software wapo mbezi beach.0715219171 ni wazuri sana
nilifanya utafiti last year wakati client wangu alikua na mahitaji yanayofanana na haya yako. Nilipitia takribani 50 applications na nikapata one of them which actually can do more that what I expected
Unaweza download trial uka install then contact me for full version license, will offer you half a price
Download it here
http://www.instantinvoice.net/