Wadau mpooo. Nina smartphone kila nikitaka kudownload application kwenye play store naletewa Ujumbe huu "Authentification is required. You need to sign into your Google account."
What should I do to fix this problem!!??
Help me please
ushauri wa bure kama umeweka email yako gmail then bonyeza menu ya simu yako alafu nenda sehemu imeandikwa google setting hapo ndipo shida ipo, ikishindikana hapo basi andamana
Wadau mpooo. Nina smartphone kila nikitaka kudownload application kwenye play store naletewa Ujumbe huu "Authentification is required. You need to sign into your Google account."
What should I do to fix this problem!!??
Help me please
Wadau mpooo. Nina smartphone kila nikitaka kudownload application kwenye play store naletewa Ujumbe huu "Authentification is required. You need to sign into your Google account."
What should I do to fix this problem!!??
Help me please
Tumia store nyingine wakati unatafuta ufumbuzi. Nenda aptoide.com install utapata apps kutoka hapo au www.apkhere.com for direct downloads. Huitaji Google account