Msaada wa platform ya kuinvest (Investment)

Msaada wa platform ya kuinvest (Investment)

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2018
Posts
604
Reaction score
218
Naombeni msaada wa platform ambayo unaweza kuwela hela zako na kujizalisha kwa kuwa tafuta watu yaani kila mtu atakaye join kupitia wewe uwe unapewa kiasi chako.

Kwa Kenya zipo nyingi ila kwa hapa Tanzania najua moja tu mfano kama vile global alliance ila isiwe ina mtaji mkubwa kama wa global alliance mtaji usizidi laki Mwenye kujua naomba anisaidie asante.
 
Kwann usijiunge za huko kenya? Maana unakiri kuwa unazifahamu .
Naombeni msaada wa platform ambayo unaweza kuwela hela zako na kujizalisha kwa kuwa tafuta watu yaani kila mtu atakaye join kupitia wewe uwe unapewa kiasi chako kwa Kenya zipo nyingi ila kwa hapa Tanzania najua moja tu mfano kama vile global alliance ila isiwe ina mtaji mkubwa kama wa global alliance mtaji usizidi laki Mwenye kujua naomba anisaidie asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Download META TRADE 4 hiyo ndio top kwa shughuli zote za kila aina ya kuinv pesa mtandaoni
Hahahahaha nimecheka kwel kwel aiseee kwel wahuni sio watu yaani uko ni kipigooo anarudi na majoz yake🤣🤣🤣
 
*ANNOUNCEMENT MUHIM KWA TRADERS WOTE*

Naona Traders wengi wamehamia SafariCom kwa ajili ya kupata instant withdraw, pia kupokea pesa kwa kutumia PayPal etc. Ni jambo nzuri. Nimegundua Traders wengi wanatumia lain za SafariCom zilizosajiliwa majina mengine. Nimefanya research, nimeona is too risk. Kuna mtaalam kutoka Kenya aliniambia Unaweza ukapewa Kosa la *CYBER TERRORIST* na usichomoke.

Uptrend Inc ikaamua kwenda Kenya, Mombasa kwa ajili ya kusajili lain ya SafariCom. Wanahitaji Passport ya Tanzania tu na wewe physical kwa ajili ya Biometrics.

*Utaratibu*
Njia Nyepesi ni Kupitia Mombasa. Fika Tanga, better ulale Tanga coz ni gharama nafuu. Asubuhi sana kesho yake panda gari za kwenda Mombasa.. ukifka Mombasa Nenda Huduma centre.. chukua lain, then rudi Tanga. Either urudi na gari za usiku dar au ulale tena Tanga.

*Gharama*
Dar - Tanga = 15,000
Hotel Tanga = 25,000
Tanga - Mombasa = 14,000
Ukifika Mombasa, change pesa ya Tz upate only 1,100 KSH (around 25,000)
Chukua bajaji mpka Huduma Centre = Ksh 100.
Lain = Ksh 50.
Mombasa - Tanga = Ksh 800.
Tanga - Dar = 15,000

Total uwe na Around 120,000 - 150,000.

Kwa maelezo zaidi text whatsapp +255653457659.
Tatzo sina line ya safaricom kwa ajili ya kufanya payment kama unajua nawezaje pata line ya safaricom niambir

Umesema ukwel lakn hiyo 150 sasa mmmhh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom