Msaada wa picha za baiskeli

Msaada wa picha za baiskeli

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,932
Wanajamvi, heshima mbele.

Naomba yeyote mwenye picha za watu kwenye baiskeli wakiwa katika shughuli mbalimbali anipatie. Ningependelea zaidi oicha za baiskeli zilizobeba wagonjwa, wajawazito na zile zinazoonyesha baiskeli katika shughuli mbalimbali katika maisha.
 
Back
Top Bottom