ymollel JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 3,095 Reaction score 2,294 Apr 7, 2017 #2 middle east said: Naomba msaada wadau Click to expand... Ingia DEVICE MANAGER upige picha tuone kama drivers zinamiss. Na je, mwanzoni ilikuwa inakubali?
middle east said: Naomba msaada wadau Click to expand... Ingia DEVICE MANAGER upige picha tuone kama drivers zinamiss. Na je, mwanzoni ilikuwa inakubali?
Philipo D. Ruzige JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 9,429 Reaction score 27,134 Apr 7, 2017 #3 middle east said: Habari wakuu Nina komputa yangu nataka kufungua WiFi iwe on lakin inakataa sijajua tatizo nn .....nimejaribu Mara nyingi kuweka on lakin bado inakataa ....naomba msaada wakuu tafadhali Click to expand... Mkuu kwan huoni hapo kwenye keyboard kuna alam ya orange ya kimnara kuwa umezima WIFI, Kibonyeze kiwe white, baada ya hapo kama itagoma tupe screenshot ya device manager
middle east said: Habari wakuu Nina komputa yangu nataka kufungua WiFi iwe on lakin inakataa sijajua tatizo nn .....nimejaribu Mara nyingi kuweka on lakin bado inakataa ....naomba msaada wakuu tafadhali Click to expand... Mkuu kwan huoni hapo kwenye keyboard kuna alam ya orange ya kimnara kuwa umezima WIFI, Kibonyeze kiwe white, baada ya hapo kama itagoma tupe screenshot ya device manager
faster Member Joined Jan 3, 2016 Posts 93 Reaction score 98 Apr 7, 2017 #4 Windows yako iko activated?