Msaada wa nyimbo za kwaya hizi

Msaada wa nyimbo za kwaya hizi

binti mkupasi

Member
Joined
Jan 9, 2016
Posts
25
Reaction score
16
Kwanza naomba mods msiuunganishe huu uzi na uzi mwingine wowote.

Maana kwa kufanya hivyo, ntashindwa kuzipata hizi nyimbo.

Kuna kwaya fulani inaitwa Nioth Prophetical Singers, hawa wana Albam inayojulikana kwa jina la "Unangoja nini", humo ndani kuna huu wimbo unaitwa "Mapambazuko" mwenye nao naomba anifanyie msaada wa kunisogezea hapa.

Pia kuna kwaya ya kitambo, inaitwa "Mtoni evangelical Choir" kama sijakosea, walitamba sana na Albam yao ya "Dini iliyo safi" ikiwa na wimbo murua kabisa wa "wrong number shetani kwangu" nazitafuta sana nyimbo za hii Albam, mwenye naye anisogezee hapa.

Mwisho kabisa, natafuta nyimbo za wa KKKT zinazojulikana kama "Ikumeni" kama sijakosea, zile za beat za ngoma, pia mwenye nayo anisogezee hapa.

Karibuni sana wana wa Mungu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom