M mimi20 Member Jan 16, 2021 14 24 Jun 15, 2022 #1 Habari zenu wakuu nimeitwa kwenye usaili wa kazi nafasi ya vocational training na utumishi. Naombeni msaada wa Nondo za maswali kuanzia written na oral.
Habari zenu wakuu nimeitwa kwenye usaili wa kazi nafasi ya vocational training na utumishi. Naombeni msaada wa Nondo za maswali kuanzia written na oral.
Clark boots JF-Expert Member Jun 5, 2017 6,402 5,527 Jun 15, 2022 #2 Ukirudi kwenye Usaili husisite kutuwekea maswali hapa
meck pro JF-Expert Member Nov 25, 2018 1,352 2,917 Jun 15, 2022 #3 Mkuu mwalimu wa nini hata mie nataka maswali aisee hapa pia computer application teacher anayejua atusaidie
Mkuu mwalimu wa nini hata mie nataka maswali aisee hapa pia computer application teacher anayejua atusaidie
meck pro JF-Expert Member Nov 25, 2018 1,352 2,917 Jun 15, 2022 #5 Mie ngoja tu nikafanye hiyo interview aiseee then matokeo nitajua mbele kwa mbele maana sielewi hapa
Doubleg Malafyale JF-Expert Member Feb 17, 2017 1,890 2,217 Sep 12, 2022 #9 meck pro said: Mkuu mwalimu wa nini hata mie nataka maswali aisee hapa pia computer application teacher anayejua atusaidie Click to expand... meck pro said: Mkuu mwalimu wa nini hata mie nataka maswali aisee hapa pia computer application teacher anayejua atusaidie Click to expand... Mkuu ulifanikiwa kula shavu veta?
meck pro said: Mkuu mwalimu wa nini hata mie nataka maswali aisee hapa pia computer application teacher anayejua atusaidie Click to expand... meck pro said: Mkuu mwalimu wa nini hata mie nataka maswali aisee hapa pia computer application teacher anayejua atusaidie Click to expand... Mkuu ulifanikiwa kula shavu veta?
meck pro JF-Expert Member Nov 25, 2018 1,352 2,917 Sep 13, 2022 #10 Doubleg Malafyale said: Mkuu ulifanikiwa kula shavu veta? Click to expand... Hawajaita watu kazini hakuna placement Toka mwezi wa sita mpka Leo mkuu
Doubleg Malafyale said: Mkuu ulifanikiwa kula shavu veta? Click to expand... Hawajaita watu kazini hakuna placement Toka mwezi wa sita mpka Leo mkuu
Doubleg Malafyale JF-Expert Member Feb 17, 2017 1,890 2,217 Sep 13, 2022 #11 meck pro said: Hawajaita watu kazini hakuna placement Toka mwezi wa sita mpka Leo mkuu Click to expand... Duuuj noma sana miezi 3 sasa Hvi usaili wa vitendo wa compiter application ulipewa ufanye nn?
meck pro said: Hawajaita watu kazini hakuna placement Toka mwezi wa sita mpka Leo mkuu Click to expand... Duuuj noma sana miezi 3 sasa Hvi usaili wa vitendo wa compiter application ulipewa ufanye nn?
meck pro JF-Expert Member Nov 25, 2018 1,352 2,917 Sep 13, 2022 #12 Doubleg Malafyale said: Duuuj noma sana miezi 3 sasa Hvi usaili wa vitendo wa compiter application ulipewa ufanye nn? Click to expand... Ilikua database tu
Doubleg Malafyale said: Duuuj noma sana miezi 3 sasa Hvi usaili wa vitendo wa compiter application ulipewa ufanye nn? Click to expand... Ilikua database tu
Brightly JF-Expert Member Apr 28, 2022 261 353 Dec 30, 2023 #13 mimi20 said: Habari zenu wakuu nimeitwa kwenye usaili wa kazi nafasi ya vocational training na utumishi. Naombeni msaada wa Nondo za maswali kuanzia written na oral. Click to expand... Tunaomba mrejesho mkuu practical interview ilikuaje??
mimi20 said: Habari zenu wakuu nimeitwa kwenye usaili wa kazi nafasi ya vocational training na utumishi. Naombeni msaada wa Nondo za maswali kuanzia written na oral. Click to expand... Tunaomba mrejesho mkuu practical interview ilikuaje??