Mkuu endelea na moyo huo huo, Amin!mtafute JOYCE KIRIA anatafuta watu kwenye NGO yake 0783137777
Habari zenu wana JF samahani sana but nilkua natafta NGO ambazo zinatoa nafasi za kujitolea kwa Dar es salaam. mmi nina degree ya business administration natafta sehem ya kujitoa kuongeza knowledge na experience kwa nilichosomea. asanteni
#JOKES ASIDE PLEASE🙂
asante...unapo pata nafasi ya kutoa msaada kwanini usite...si unajua binaadam tunategemeanaMkuu endelea na moyo huo huo, Amin!
Karibu tenaAsante