Msaada wa New Whatsapp Version

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,369
Reaction score
27,784
Habari wakuu

kwa anayeweza kunipatia link niweze kupakua WhatsApp new version maana ninayotumia kwa sasa ipo outdated.

Thanks..

k
 
Mkuu si uingie playstore then ui update au unatumia kifaa gani...?
 
Whatsapp plus inategemea na Aina ya Sim yako Kuna baadh hazi-support
 
Habari wakuu

kwa anayeweza kunipatia link niweze kupakua WhatsApp new version maana ninayotumia kwa sasa ipo outdated.

Thanks..

k

Mkuu una tatizo kama langu, na mimi napata ujumbe huo huo

Mkuu si uingie playstore then ui update au unatumia kifaa gani...?

Mkuu mi natumia iPad Air, niliichakachua kwasababu iPad haisupport whatsap, lakini kila nikijaribu ujanja niliotumia kuchakachua inagoma. Vipi una maujanja yoyote ambayo unafahamu mkuu?
 
Attachments

  • image.jpg
    56.2 KB · Views: 97
  • image.jpg
    56.5 KB · Views: 87
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…