Msaada wa net.framework

Msaada wa net.framework

AKILI TATU

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2016
Posts
2,666
Reaction score
2,840
wadau habari,naomba kujuzwa jinsi ya kuinstall Net Framework ya 3.5 kwenye pc yangu
 
.net framework....tuongezee maelezo apo juu..kama os n windows sema ipi 7,8,10
 
Nadhani mashine pia inampa specification ni net frame ipi inayohitajika na mashine yake na kama anatumia internet inaweza kumuuliza kama anataka kuidownload on spot
 
Naombeni mnitoe tongotongo hiyo net framework inahusika na nini hasa
Nijuzeni tafadhali
 
Back
Top Bottom