Msaada wa namna ya kupata cheti

Msaada wa namna ya kupata cheti

Mwasubi

Member
Joined
Apr 6, 2015
Posts
15
Reaction score
0
Wakuu, naomben mnipatie msaada wa kupata cheti kutka udsm, niko mbali sana, nitumie mbinu gani?
 
Tumia ems ndio kitafika fasta au kama hauna haraka nacho tumia njia ya posta, siku hizi mabasi hatuyaamini sana😕:sly:
 
Back
Top Bottom