Chumvi ya mabongeet mtu mwenye vidonda kichwan anaweza kuvikausha na nini vimeanza tu ...vina kama siku nne hv ..kichwan na vinatoa maji maji .
Amesema ana vidonda. Hajasema ana mboga.Chumvi ya mabonge
Kuna shampoo ya head and shoulder clinical strength kama utaipata kwenye maduka. itasaidia sana kukausha hivyo vidonda na pia kupona kabisa. Ina Selenium Sulfide 1%. Inawezekana una tatizo la Seborrheic Dermatitis. Hii shampoo itakusaidia sana, tumia once a day mpaka dalili za kukauka vidonda, halafu unatumia mara mbili kwa wiki mpaka vidonda vinapona kabisaMtu mwenye vidonda kichwani anaweza kuvikausha na nini?
Vimeanza tu vina kama siku nne hivi kichwani na vinatoa maji maji.