Msaada wa namna ya kukausha vidonda kichwani

Msaada wa namna ya kukausha vidonda kichwani

lovenessy

Senior Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
105
Reaction score
68
Mtu mwenye vidonda kichwani anaweza kuvikausha na nini?

Vimeanza tu vina kama siku nne hivi kichwani na vinatoa maji maji.
 
Pole sana, weka picha upewe muongozo...
 
Mtu mwenye vidonda kichwani anaweza kuvikausha na nini?

Vimeanza tu vina kama siku nne hivi kichwani na vinatoa maji maji.
Kuna shampoo ya head and shoulder clinical strength kama utaipata kwenye maduka. itasaidia sana kukausha hivyo vidonda na pia kupona kabisa. Ina Selenium Sulfide 1%. Inawezekana una tatizo la Seborrheic Dermatitis. Hii shampoo itakusaidia sana, tumia once a day mpaka dalili za kukauka vidonda, halafu unatumia mara mbili kwa wiki mpaka vidonda vinapona kabisa
 
Back
Top Bottom