Mr Anold
JF-Expert Member
- Jan 19, 2012
- 218
- 46
Ndugu wataalam nina iPhone, iliyotumika Marekani, hapa Tz nimeshindwa kuitumia kwa network zetu.
Ninapoweka line ina dai activation na mwisho inaishia na Sim Card not valid.
icloud na Apple ID ninzo ila tu kuiweka kwenye network ndo nimeshindwa.
Naomba kwa yoyote mwenye ujuzi anione inbox tuyajenge.
NB Nimepata solution online lakini wanahitaji pesa na sina imani nao
Sent using Jamii Forums mobile app