Natumai muwazima wa afya, wanajamvi nahitaji msaada wenu mimi natumia simu aina ya Huawei y300,nataka kui root naombeni mwenye uelewa juuya hiyo simu anisaidie namna ya ku root. napia nikiiroot itakuwa inamadhara gani na nini faida ya kui root?
Nashukuru ila nime jaribu Towel root imekataa inaniambia No supporty fo huawei y300tumia towel root thn uta press make it rain...
rooting unafaida nyingi sna..kubwa ni ku unistall system app....pia kuweka custom rom ,kuna apps nzur uta enjoy kam titanium back up,greenify etc
hasara zke ni unawza brick simu yko..
na mm napenda sana kufanya root ila nimejaribu apps tofauti tofauti ila nimeshindwa natumia samsung s3 gt i9300 naomba msaadaTumia root genius ndio kiboko hyo
Natumai muwazima wa afya, wanajamvi nahitaji msaada wenu mimi natumia simu aina ya Huawei y300,nataka kui root naombeni mwenye uelewa juuya hiyo simu anisaidie namna ya ku root. napia nikiiroot itakuwa inamadhara gani na nini faida ya kui root?
na mm napenda sana kufanya root ila nimejaribu apps tofauti tofauti ila nimeshindwa natumia samsung s3 gt i9300 naomba msaada