Msaada wa namba za dalali Dar

alexis jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2014
Posts
391
Reaction score
343
Habari wakuu , msaada nahitaji chumba magomeni , msasani au morocco kiwe kimoja self contained marumaru na gypsum kama ni dalali unaweza ni pm au msaada wa mawasiliano ya dalali natanguliza shukrani za dhati

DPP
 
Mdogo wangu watu waongo sana huku mtaani wanasema umehamishiwa Kibiti kumbe bongo,hongera mwee
 
Mimi mwenyewe nina nyumba chumba kimoja, self contained ila kiko kimara. Juwa kuna mwendokasi nipigie 0655 666677

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku mbezi kwa musuguli St anne kuna chumba na sebule laki tu kwa mwezi na mimi ndo dalali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mdogo wangu watu waongo sana huku mtaani wanasema umehamishiwa Kibiti kumbe bongo,hongera mwee
Nipo dar mkuu
Mimi mwenyewe nina nyumba chumba kimoja, self contained ila kiko kimara. Juwa kuna mwendokasi nipigie 0655 666677

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu lengo nikua karibu na shule ninayofun disha ndio maana nimeomba msaada maeneo tajwa rum

DPP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…