Civil Engineering amekosa kazi? Seriously? Hakufanya field popote wakati akisoma? Acha kuifananisha Civil na mambo ya kijinga!Habari zenu wanajamvi?
Nimekuja kwenu nikihitaji msaada wa kazi. Niko na ndugu yangu Amesomea Civil Engineering.. Ametafuta kazi bila mafanikio.. Yuko vizuri sana Kichwani na kiutengaji..
Natanguliza shukrani.
Kwhyo mkuu ukifanya field sehem ndo hapo hapo utapata kazi? Kama ingekuwa hivyo bas kila anaemaliza chuo angepata kaz maana hakuna ambae hajwah kufanya field somewhere.Civil Engineering amekosa kazi? Seriously? Hakufanya field popote wakati akisoma? Acha kuifananisha Civil na mambo ya kijinga!
Kiukweli siwezi kulaumu kitu.Kwhyo mkuu ukifanya field sehem ndo hapo hapo utapata kazi? Kama ingekuwa hivyo bas kila anaemaliza chuo angepata kaz maana hakuna ambae hajwah kufanya field somewhere.
Pili, kwan civil n nini? Watu weng tuu na macivil yao wanakula msoto kitaa mbona. Wnapata pata vikaz vya mda mfupi vikiisha wanaanza tena kuzurura mtaan.
Karibu Fulgent Careers, washauri wa masuala ya elimu na ajira ndani na nje ya nchi. Huduma ya kutafutiwa kazi gharama yake ni Tsh 10,000. Kwa mawasiliano 0769 524 022.Habari zenu wanajamvi?
Nimekuja kwenu nikihitaji msaada wa kazi. Niko na ndugu yangu amesomea Civil Engineering. Ametafuta kazi bila mafanikio. Yuko vizuri sana Kichwani na kiutengaji.
Natanguliza shukrani.
Kiukweli siwezi kulaumu kitu.
Kwa Sasa hivi ajira zimekuwa ngumu kwa kila fani.
Ukizingatia contractors hawapati tenda kutoka serikalini Kama ilivyokuwa enzi ya JK.
Kwa hiyo kutokana na Hilo inahitaji akili nyingi sana na connections za kutosha kuweza kupata kazi ya kuendesha maisha.
Kitu pekee ambacho kitamuokoa ni kuweza kujifunza vitu vingi vingi Kama ana nafasi.
Kwa mfano yeye Kama amesoma General Civil Engineering,anaweza kuomba kazi au Internship kwenye kampuni za Survey Kisha akajifunza kiundani jinsi ya kufanya survey inaweza ikamsaidia.
Au anaweza kwenda kwenye kampuni za well drilling akajishikiza kupata uzoefu pia iko poa.
Uzur wa hizi kampuni nilizozitaja hapo huwa wanapata tenda na dili ndogondogo za mtaani kwa haraka ukilinganisha na highway & building contractors.
Yaani asikariri kwa vile amesoma Civil Engineering Basi ni lazima afanye kazi za highway na building construction.
Akiwa na hii philosophy atatoboa soon.
👏👏👏Karibu Fulgent Careers, washauri wa masuala ya elimu na ajira ndani na nje ya nchi. Huduma ya kutafutiwa kazi gharama yake ni Tsh 10,000. Kwa mawasiliano 0769 524 022.
Kazi zipo
Jitafutieni nyie kwanza...mbona mnataka kunyonya watu.. elfu 10...tafuteni nyie kwanza kazi za maanaKaribu Fulgent Careers, washauri wa masuala ya elimu na ajira ndani na nje ya nchi. Huduma ya kutafutiwa kazi gharama yake ni Tsh 10,000. Kwa mawasiliano 0769 524 022.
Mimi naishi Dar mkuu.Nimekuelewa mkuu..
Uko wapi wewe?
Naomba connection mkuuKazi zipo
Kwann unamsingizia ndugu yako?Habari zenu wanajamvi?
Nimekuja kwenu nikihitaji msaada wa kazi. Niko na ndugu yangu amesomea Civil Engineering. Ametafuta kazi bila mafanikio. Yuko vizuri sana Kichwani na kiutengaji.
Natanguliza shukrani.
Simsingizii mkuuKwann unamsingizia ndugu yako?
Mkuu unawexa kunisaidia kwa hiyo issue?Mimi naishi Dar mkuu.
Hapana mkuu Mimi sina connection hizo na fani yangu sio Civil Engineering but ni mfuatiliaji tu wa mambo.Mkuu unawexa kunisaidia kwa hiyo issue?
Kama ni jinsia KE naomba unijibu haraka kuna nafasi moja hapa mjini hapa kwa mtu aliesoma Civil.Nimekuelewa mkuu..
Uko wapi wewe?
Kama ni jinsia KE naomba unijibu haraka kuna nafasi moja hapa mjini hapa kwa mtu aliesoma Civil.
Shukrani
Well saidKwhyo mkuu ukifanya field sehem ndo hapo hapo utapata kazi? Kama ingekuwa hivyo bas kila anaemaliza chuo angepata kaz maana hakuna ambae hajwah kufanya field somewhere.
Pili, kwan civil n nini? Watu weng tuu na macivil yao wanakula msoto kitaa mbona. Wnapata pata vikaz vya mda mfupi vikiisha wanaanza tena kuzurura mtaan.