Nahitaji mwalimu wa general studies

GER

Senior Member
Mar 13, 2015
138
34
Naomba kwa mwalimu yeyote mwenye uzoefu wa kufundisha Gs A level Aliye Tayari Kunifundisha Somo Hilo Online Tuwasiliane.
 
Naomba kwa mwalimu yeyote mwenye uzoefu wa kufundisha Gs A level Aliye Tayari Kunifundisha Somo Hilo Online Tuwasiliane.
GS Kila Mwalimu Anafundisha!Masomo Ya Arts Mengi Ni Utapeli Tu Ujue Kuelezea Na Kuwa Na Mifano Ya Uongo Uongo Tu!
 
hahaha nimekumbuka "Philosophy" sijui bado ipo? kuna masomo mengine sio ya kusoma kabisa unaingia zako pepa na kutoka na "S" yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom