Nigependa kujua ni mtanda upi I.e tigo-pesa, airtel-pesa, vodacom-mpesa etc unatao huduma bora kama vile kuunganisha bank account and account yako ya simu kama nilivyoeleza hapo juu
Nigependa kujua ni mtanda upi I.e tigo-pesa, airtel-pesa, vodacom-mpesa etc unatao huduma bora kama vile kuunganisha bank account and account yako ya simu kama nilivyoeleza hapo juu
Mpesa - Kwa sasa fedha huchelewa kuingia katika account unapotuma inabidi usubiri kwa dk 5 hadi 45 inategemeana ni wakati gani wa siku.
Wanamakato utumapo fedha benki
Ila upande wa MPESA customer care wako safi kwa huduma.
Tigo Pesa - Hakuna kuchelewa kwa fedha kuingi kwenye account yako.
Hakuna makato kutumafedha kwenye account yako ya benki
Sijawahi kupata tatizo lolote, hivyo sijui Tigo -Pesa upande wa customer care upo vipi
Kwa sasa ,Nikiambiwa nichague mtandao mmoja kati ya hii miwili - basi nitachagua Tigo Pesa
Haya ni maoni yangu kutokana na matumizi ya hizi huduma kwa muda mrefu - kuweka na kutoa fedha benki , au kutuma toka account moja kwenda nyengine, kupitia simu yangu.