Msaada wa Mouse ya laptop

Msaada wa Mouse ya laptop

Mawenzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,251
Reaction score
347
Naomba msaada: mouse ya laptop yangu haifanyi kazi. Nifanyeje???
 
Hii misaada mingine nayo mweeeee......nunua external au angalia kwenye divice manager >mice and other pointing device>angalia kama iko enabled
 
Nunua wireless mouse achana na hizo za kamba vimeo sikuhizi
 
Mi mwenyewe laptop yangu inatatizo la kuganda mouth , kuna mtu alinuambia win 8 ndo shida nireplace win nyingne sa cjuu kama ni kweli. Kwa sasa natumia external
 
Nunua wireless mouse achana na hizo za kamba vimeo sikuhizi

Mim natumia za wireless za Nordic ni Best Mouse Ever sijawah kuona toka mwaka jana mwezi sita mpk leo iko kama mpya
 
Labda imejilock yenyewe accidentally

angalia chini upande wa kulia wa screen utaona alama inafanana na touchpad, kama pointer inaweza fika, double click then kata funguka kuna button ya off na on weka on. other wise restart the machine then ita rudi kuwa on automatically!
 
Ahsante Nyantella, nitajaribu kesho na nitakupa mrejesho. Nime-restart mara nyingi bila mafanikio
 
weka picha za laptop yako kama hizi nilizoweka hapa , ili kupata usaidizi kulingana na aina ya laptop yako.
 
Attachments

  • 1433958939893.jpg
    1433958939893.jpg
    47.4 KB · Views: 125
  • 1433958987228.jpg
    1433958987228.jpg
    59.9 KB · Views: 115

angalia chini upande wa kulia wa screen utaona alama inafanana na touchpad, kama pointer inaweza fika, double click then kata funguka kuna button ya off na on weka on. other wise restart the machine then ita rudi kuwa on automatically!

Mkuu nyantella, sijaona hiyo alama inayofanana na touchpad
 
mimi kwangu nikibonyeza fn + f6 naeka touchpad on au off angalia kwenye hizo f1 hadi f12 utaona vipicha vimechorwa tafuta kipicha kama touchpad kimekatwa then tumia fn na hicho kipicha kueka on/off touchpad yako
 
Kuna touchpad zingine kama za baadhi ya HP proBook, ambazo kuna kishimo juu kushoto kwenye touchpad ambapo ukiDOUBLE CLICK 👆 hapo juu kushoto unaDisable au KuEnable touchpad.
 
mimi kwangu nikibonyeza fn + f6 naeka touchpad on au off angalia kwenye hizo f1 hadi f12 utaona vipicha vimechorwa tafuta kipicha kama touchpad kimekatwa then tumia fn na hicho kipicha kueka on/off touchpad yako

Ahsante sana Chief-Mkwawa. Nimefanikiwa. Ni Fn + F9 kwa key pad yangu. Thanks a lot wote mliojaribu kunisaidia. Ndiyo uzuri wa JF
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom