Mustin Member Joined Dec 16, 2013 Posts 27 Reaction score 1 Jan 17, 2014 #1 Nimenunua modern bt nikiichomeka kwny computer inaonyesha imekuwa connected ila nashangaa nikifunguu internet haifunguki ipo offline,nmejaribu sn kuweka kwny computer tofauti mambo ni yale yale. Naombeni msaada wa kuifanya ifanyekaz vzr
Nimenunua modern bt nikiichomeka kwny computer inaonyesha imekuwa connected ila nashangaa nikifunguu internet haifunguki ipo offline,nmejaribu sn kuweka kwny computer tofauti mambo ni yale yale. Naombeni msaada wa kuifanya ifanyekaz vzr