elmagnifico JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 8,260 Reaction score 9,764 Jul 21, 2013 #1 Nawasalimu wadau wote wajukwaa hili.. Ninaomba mnisaidie kiwango cha kodi kinachotakiwa kulipwa kwa kampuni yenye annual turn over ya tshs 800,000,000-1,600,000,000.
Nawasalimu wadau wote wajukwaa hili.. Ninaomba mnisaidie kiwango cha kodi kinachotakiwa kulipwa kwa kampuni yenye annual turn over ya tshs 800,000,000-1,600,000,000.
MTAZAMO Platinum Member Joined Feb 8, 2011 Posts 20,211 Reaction score 35,861 Jul 21, 2013 #2 Corporate tax haitokani na annual turnover bali TAXABLE PROFIT. Lakini kuna aina nyingi za kodi utazotakiwa kulipa pending on nature of your business.
Corporate tax haitokani na annual turnover bali TAXABLE PROFIT. Lakini kuna aina nyingi za kodi utazotakiwa kulipa pending on nature of your business.