Msaada wa mawazo

Kama moyo unakuuma ni Ishara ya kupenda, piga hatua moja mbele uchukue jumla.
 
Hii si Wizara wala jukwaa la mambo ya uzinzi wala wazinzi...

Hivyo hakuna ushauri wowote tutakaokupa zaidi ya kukwambia acha dhambi eeh mwanadamu...

Bora umemsaidia mkuu maana mleta mada ajielew
 
Ushapenda weye!!!! Sasa kwa nini uendelee kumficha kwamba umeumia kwa yeye kugawa papuchi kwa njemba nyingine!? Kama hauko tayari kumwambia hivyo basi endelea kuwa friend with benefits ila moyo wako ungangamare ili ukiambiwa amegawa tena papuchi usishindwe kula na kulala.



 
Last edited by a moderator:

Lov u mamito!!!!
 

kuliko kioze bora ampe jirani.
 
sasa nitaanzaje kumwambia kuwa nampenda na yeye kaniambia kuwa love yake kwangu imekwisha?

mwanamke akikuchoka no return. unaumia nn sasa wakati ulimuona hafai ndo dawa
 

ushauri jishushe tu mwambie kuwa unampenda.atakuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…