Wanajf [size=+2]msaidien binti huyu[/size] kwa mawazo yenu. Mzazi mwenzake hataki kumtunza mtoto. Waliachana baada ya kutoelewana lakin wakakubaliana kumlea mtoto. Ni mwaka sasa baba hatoi chochote, akipigiwa sm hapokei wala sms hajibu. [size=+2]Nashindwa kumuelewa maana kipato changu[/size]size ni kidogo mno. Ingekuwa wewe ungefanyaje?
Ukitaka kudanganya inabidi uwe na kumbukumbu nzuri!
Ukitaka kudanganya inabidi uwe na kumbukumbu nzuri!
haa haa ful kujichanganya
Ukitaka kudanganya inabidi uwe na kumbukumbu nzuri!
Hahahahaha dah hatari
Ukitaka kudanganya inabidi uwe na kumbukumbu nzuri!
sijaona alichojichanganya ila kashindwa kujieleza vizuri, mimi nilichomuelewa ni kwamba kwa sasa yeye anamsaidia huyo binti ila kipato chake ni kidogo kiasi kwamba anahitaji msaada jinsi ya kujipunguzia mzigo ukizingatia huyo binti anaye mume ambaye ndo mhusika mkuu wa mtoto!!!!
Huwezi kulea bila msaada wa huyo sperm donor?Wanajf msaidien binti huyu kwa mawazo yenu. Mzazi mwenzake hataki kumtunza mtoto. Waliachana baada ya kutoelewana lakin wakakubaliana kumlea mtoto. Ni mwaka sasa baba hatoi chochote, akipigiwa sm hapokei wala sms hajibu. Nashindwa kumuelewa maana kipato changu ni kidogo mno. Ingekuwa wewe ungefanyaje?
ningekuwa mie ningefanya kazi zaidi kuongeza kipato, ningedelete namba ya baba mtoto.
Ni wajibu wa baba kumlea mtoto kwani ameshiriki kumleta duniani. Akina baba hupenda sana dezo wanasubiri mtoto akisha kuwa na kazi nzuri ndiyo kimbelembele kujipeleka oooh mwanangu nisaidie hiki, nisaidie kile, loh!
Mpeleke haraka kwa ustawi wa jamii au kokote kule ambapo utapata haki za kumlea mtoto ili na yeye aone raha ya kuleta viumbe duniani na kuwashughulikia ipasavyo.
Ukitaka kudanganya inabidi uwe na kumbukumbu nzuri!