Kwa wanaume ulikua umeshafanya nini cha maendeleo baada ya miaka 3 kazini tiririka kulingana na kipato chako maana kuna watu wana mishahara midogo ila wana maendeleo kuliko wenye mamilioni.
aisee, hili swali zuri saana, ngoja tuone watanzania tulivyo wavivu na waoga kuthubutu, bila shaka,,majibu mengi yatakuwa kujenga na kununua gari.... hakuna mradi