Nimekua nikisumbuka kupata mtoto,ila majuzi tu nimegundua nina ujauzito wa mwezi baada ya muda mrefu,niepuke dawa gani katika safari hii? Nahofia isitoke
Hata ukiandikiwa na dr dawa, google upate info zake.tumia keywords contraindications of. . . . dose in pregnancy. Utajiweka salama zaidi.
Hongera sana, Mungu alieanzisha kazi hii ndani yako ataimalizia salama.

Pole sana kwa taabu iliyokupa...........................usiogope haitoki Mungu amesikia kilio chako!!
Lea vizuri mimba yako kwa kutembelea clinic ya uhakika na umuone daktari, soma vijarida vya maswala ya afya yanayotolewa na vyanzo vya kuaminika, na endelea kumwomba Mungu na kuacha dhambi!!