Jiwe kuu01
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 228
- 86
Habari wana JF polen na pia hongeren kwa mihangaiko ya dunia,
Wakuu Nina Rafiki yangu Anahitaji msaada wa mawazo yenu
Huyu jamaa amemaliza six mwaka huu
Alivyorudi2 kutoka shule (Baada ya kumaliza mtihani wa Taifa) akatuma maombi ya diploma kwenye moja ya vyuo hapa nchini.
Baada ya matokeo kutoka akawa amefaulu kwa ufaulu unaomwezesha kusoma degree kwahiyo akaachana na wazo la kwenda kusoma diploma akatuma maombi kwenye vyuo vingine vya degree, lakin kwa awamu hii ya Kwanza hajachaguliwa hata chuo kimoja
Leo amepokea Code kutoka nacte wakimtaka aingie kwenye website yao aangalie uhakikisho wa chuo alichochaguliwa
Je Kuna effect zozote ambazo zinaweza jitokeza kwayeye kuomba vyuo kwa ngazi mbili tofauti?
Je Jambo Hilo ndilo ambalo limesababisha ashindwe kuchaguliwa katika awamu hii ya Kwanza?
Msaada wenu wakuu