Kijana wako anaona mbali. Mpeleke huko mkuu. Akitoka hapo anakuwa na career nzuri sana. Wakati wenzie wanahangaika kutafut chuo yeye anahangaika na kaziWakuu heshima kwenu..
Kijana wangu amemaliza form four kapata 1 ya 16..combination zote zimebalance sasa tatizo anataka kwenda chuo ataki kwenda form five na six na anataka kusoma mechanical Engineering...Naomba.mawazo yenu je aende five na six kwanzaa au nimpeleke chuo anapotaka..ana miaka 17 now.Nawasilisha
wasi wasi wangu umri mkuu...17yrs na chuo napata wasi wasi sana....Kijana wako anaona mbali. Mpeleke huko mkuu. Akitoka hapo anakuwa na career nzuri sana. Wakati wenzie wanahangaika kutafut chuo yeye anahangaika na kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Km hajitambui hata akienda advance bado atazingua.. Muachen aende kusoma kitu anachopenda. Binafsi nilimmaliza 4m4 NA umri km wake na kupata div.1 km Yake na first selection yangu nilijaza kwenda chuo. Nani nikachaguliwa DIT kusoma electrical engineering. Na Hakuna shida yoyote mayb km hajitambui ndo anawza kufeli but elimu YA ufundi ni bora zaid coz pale anasoma miaka 3 diploma then anaunganisha degree TENA miaka 3 . Trust me mtu anaepitia elimu YA ufundi KWA level YA technician anajua vizuri zaid kusengenya fani husika tofaut NA anaeenda advance. Practical NI nyingiiiiiii NA pia field wanapata exposure kubwa hata akimaliza tatizo LA Ajira hasumbuki km Wengne... Tatizo wazazi tunapenda kuwachagulia watoto kusoma mambo wasiyoyapenda... Usikariri maisha kuwa mtoto lazima aende a level. Dunia inabadilikaw
wasi wasi wangu umri mkuu...17yrs na chuo napata wasi wasi sana....
Sorry not kusengenya * I mean kuhusianaKm hajitambui hata akienda advance bado atazingua.. Muachen aende kusoma kitu anachopenda. Binafsi nilimmaliza 4m4 NA umri km wake na kupata div.1 km Yake na first selection yangu nilijaza kwenda chuo. Nani nikachaguliwa DIT kusoma electrical engineering. Na Hakuna shida yoyote mayb km hajitambui ndo anawza kufeli but elimu YA ufundi ni bora zaid coz pale anasoma miaka 3 diploma then anaunganisha degree TENA miaka 3 . Trust me mtu anaepitia elimu YA ufundi KWA level YA technician anajua vizuri zaid kusengenya fani husika tofaut NA anaeenda advance. Practical NI nyingiiiiiii NA pia field wanapata exposure kubwa hata akimaliza tatizo LA Ajira hasumbuki km Wengne... Tatizo wazazi tunapenda kuwachagulia watoto kusoma mambo wasiyoyapenda... Usikariri maisha kuwa mtoto lazima aende a level. Dunia inabadilika
Sent using Jamii Forums mobile app
Very trueKijana wako anaona mbali. Mpeleke huko mkuu. Akitoka hapo anakuwa na career nzuri sana. Wakati wenzie wanahangaika kutafut chuo yeye anahangaika na kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata akienda 4m5 km anapenda starehe huwez kumzuia.. Acha kukariri mkuuMkuu Vijana Siku Hizi Hawataki Kwenda Form Five,wanataka Kwenda Chuo, Wanataka Starehe Tu Za Chuo Na Siyo Accademically, Kijana Huyo Bado Mdogo Sana, Aende Form Five Tu,
Nani kakwambia vyuo vya kati vina starehe?kama hujui uliza kule sio university au hotel mgmt no msoto wa kufa mtuMkuu Vijana Siku Hizi Hawataki Kwenda Form Five,wanataka Kwenda Chuo, Wanataka Starehe Tu Za Chuo Na Siyo Accademically, Kijana Huyo Bado Mdogo Sana, Aende Form Five Tu,
SawaNani kakwambia vyuo vya kati vina starehe?kama hujui uliza kule sio university au hotel mgmt no msoto wa kufa mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa,Hata akienda 4m5 km anapenda starehe huwez kumzuia.. Acha kukariri mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti anataka starehe za chuo... wewe kweli huna akili duuuhMkuu Vijana Siku Hizi Hawataki Kwenda Form Five,wanataka Kwenda Chuo, Wanataka Starehe Tu Za Chuo Na Siyo Accademically, Kijana Huyo Bado Mdogo Sana, Aende Form Five Tu,
SafiKm hajitambui hata akienda advance bado atazingua.. Muachen aende kusoma kitu anachopenda. Binafsi nilimmaliza 4m4 NA umri km wake na kupata div.1 km Yake na first selection yangu nilijaza kwenda chuo. Nani nikachaguliwa DIT kusoma electrical engineering. Na Hakuna shida yoyote mayb km hajitambui ndo anawza kufeli but elimu YA ufundi ni bora zaid coz pale anasoma miaka 3 diploma then anaunganisha degree TENA miaka 3 . Trust me mtu anaepitia elimu YA ufundi KWA level YA technician anajua vizuri zaid kusengenya fani husika tofaut NA anaeenda advance. Practical NI nyingiiiiiii NA pia field wanapata exposure kubwa hata akimaliza tatizo LA Ajira hasumbuki km Wengne... Tatizo wazazi tunapenda kuwachagulia watoto kusoma mambo wasiyoyapenda... Usikariri maisha kuwa mtoto lazima aende a level. Dunia inabadilika
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa kuna mtihani kwa mzazi. Ongea nae akueleze kwa nini choice yake ni chuo badala ya A level. Mimi sio mtaalamu wa engineering lakini njia zote mbili zinaweza kumfikisha huko. Issue ninayo iona ni kujiridhisha kwamba kama atakwenda Chuo lazima kiwe kimekaa vizuri kwenye mahesabu kwani kama anataka kwenda BSc hapo baadae hesabu ni muhimu sana. Umri sio issue na wala si kweli kama chuo ni bata. Njia zote mbili zataka umakini katika kuchagua shule/chuo. Chuo ni njia ndefu na kama hapati sponsorship ya serikali ni gharama zaidi lakini ni uamuzi tu (kutegemea mfuko wako). Kuna bandiko la zamani la mwana JF anaitwa Mathew Mndeme jaribu kulitafuta lina maelezo mazuri kuhusu umuhimu wa hisibati. Mwishoni mkubaliane ukimpa uhuru wa kuchagua njia atakayo baada ya wewe kumueleza issue zinazohusika.Wakuu heshima kwenu..
Kijana wangu amemaliza form four kapata 1 ya 16..combination zote zimebalance sasa tatizo anataka kwenda chuo ataki kwenda form five na six na anataka kusoma mechanical Engineering...Naomba.mawazo yenu je aende five na six kwanzaa au nimpeleke chuo anapotaka..ana miaka 17 now.Nawasilisha