Msaada wa mawazo

peterK2

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
293
Reaction score
91
Habari JF,nime chaguliwa bachelor degree in biology chuo cha udom. naomba kujua niki soma hiyo kozi baadae nta kuwa nani? au nta weza fanya kazi gani kulingana na hii kozi. Mawazo yenu muhim sana.
 
Nakujibu kama ifuatavyo kisha changanua upate jibu , kuna mwana science na engineer , daraja likianguka kosa linakua la engineer sio mwana science japokua mwana science anatoa elimu , kanuni , sheria na taratibu za laws za kI science ambazo zinakua applied katika kujenga daraja lakini mwana science sio mjenzi , hivyo elimu ya science ya biology , utakua unahusika na ugunduzi wa ki biolojia kufahamu kuendeleza na kuchunguza elimu ya ki biolojia utawapatia elimu hiyo madactari na wengine waitumie ndio kazi ya mwana science
 
Habari JF,nime chaguliwa bachelor degree in biology chuo cha udom. naomba kujua niki soma hiyo kozi baadae nta kuwa nani? au nta weza fanya kazi gani kulingana na hii kozi. Mawazo yenu muhim sana.
Mdogo wangu hii koz unakuwa mwana biologia na sio ualimi,,, kuna koz apoo udom wanatoa na watu wanachaguaga wakijua n ualimu kumbe hollllaaa
Mfn
Bsc in chemistry
Bsc in biology
Bsc in Mathematics
Bsc in phsics


Kiufupi izoo koz n tamu tu kwa maneno ila kiuharisia...... Waulize wanazo zisoma watakupa feedback,,,....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…