Unajua Ossy, tunashindwa kujua nini tufanye tunachokipenda, mi nafikiri muulize yeye binafsi anapenda afanye kazi gani, na mandhali kafaulu vizuri basi atakuwa na opportunity nzuri ya kuwa na choice kubwa ya courses kutegemea na kazi gani atapenda ifanya. Otherwise naona ni kinyume kumchagulia mtu then at the end of the day anashindwa kutimiza wajibu wake alikoajiriwa...simply labda hakuwa na interest na hy kazi.