Invigilator
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 3,219
- 6,080
Hata sijapangiwa Mkuu maana ndo nimemaliz mwaka huu,Masomo ni Linguistics & Literature!!.unafundisha masomo yapi
Sipo mbali na wew Mkuu kwel nimeamua sitak ualim,nipe Muongozo ikiwa unaweza!!.ikifika mahali mpaka ukaomba msaada wa mawazo basi hali ni mbaya kweli kweli, labda nahisi unachohitaji ni masaada wa muongozo sahiii wakuuchukua kabla haujafanya maamuzi
unataka kumwambia afuge kuku????Hyo ada c ungetumia kujiajiri?
amebaha....ikifika mahali mpaka ukaomba msaada wa mawazo basi hali ni mbaya kweli kweli, labda nahisi unachohitaji ni masaada wa muongozo sahiii wakuuchukua kabla haujafanya maamuzi
Mkuu kwan ungepita bila kukoment usingefahamika?ndo msaada huo et?saw ahsante!!..amebaha....
Ahsante Mkuu,pesa ya kusoma ninayo acha niendelea tu!!.Chamsingi hapo usikimbilie kusoma sana, pesa tumia kuwekeza kwanza.
Ni wazo zuri ahsante,ila plan zang si hizo!!.Hyo ada c ungetumia kujiajiri?
Yeah alitaka kuniambia hivyo!!!.unataka kumwambia afuge kuku????
Ahsante sana Mkuu M.Mng akubariki sana,unajua kaka kuna watu tunakuja humu kwa issue serious kabisa tukijua tutapata Ideas za kutujenga,lakin mwishon MTU anakudisappoint kabisa,MTU unabaki njia panda,ahsante bwana!!!..Usiboreke na comment za kukuumiza moyo cha msingi simamia malengo yako,, na matamanio yako chanya unayoyataka katika maisha yako kuwa na msimamo na utekelezaji chanya kila dakika isipite bure bila kupata ufumbuzi wa jambo linalokusumbua kichwa.
unataka kumwambia afuge kuku????
Ahsante sana dada yangu,yaani wangepatikana watu kama wew, aisee JF ingekuw sehem sahihi sana watu wanapoweza kupata msaada!!!,Me nawaza mass communication and journalism inaweza kua poa sana.....media zimekua nyingi mnoo...jarbu huko kaka
Ahsante gmallo:Maisha sikuzote ni kujua unachokitaka. Ukiwa na uhakika na unachokitaka utatafuta jinsi ya kukipata. Ushauri wa kukupa cha kwenda kusomea utakuwa bla.bla tu kama hauna picha ya unachokitaka kwenye gurudumu lako la maisha.
Ukisha jua unataka kufanya nn au kuwa nani katika kila agle ya maisha hautaitaji msaada wa kuambiwa ukasomehe nini.