Msaada wa mawazo ya kiufundi

Kijana Mzeeeh

JF-Expert Member
Jul 1, 2015
295
324
Kwanza nawasalimu wakuu!

Swali langu linahusiana na hii gari katika picha niliyoambatanisha ikionesha sehemu ya chini si pazuri sana. Je, ni shida kubwa sana au ni kawaida tu?

Nawashukuru.
Screenshot_20190713-174418_Chrome.jpeg
 
Kawaida sana kiongozi. Hiyo ni body tuu ambayo kila mara inakuswa na maji, vumbi, tope n.k. hakuna shida hapo
 
Kawaida sana kiongozi. Hiyo ni body tuu ambayo kila mara inakuswa na maji, vumbi, tope n.k. hakuna shida hapo
Kinachonitisha zaidi ni huo muonekano kama wa kukatika. Sio shida hiyo?

Ingawa naona gari nyingi ziko hivyo.
 
Mkuuu punguza Uchafu, hiyo gari kinachoitesa ni kutoogeshwa ipasavyo naaamini hayo yasingetokea. Jitaidi kuwa msafi wa chombo chako.
 
Back
Top Bottom