Msaada wa Mawazo Tafadhali.

Prince Nadheem

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2012
Posts
1,269
Reaction score
1,109
Habari za muda huu wanajamii?? Leo nimekuja kuomba namna ya kumshauri huyu rafiki yangu hapa kazini kwetu. Nina rafiki yangu mmoja (girlfriend wa kawaida tu) na pia ni mke wa mtu.
sasa tangu jumatatu namwona hana raha kabisaaaa. Leo tumeenda lunch akaamua kunipa mkasa wa maisha yake.
Alianza kwa kunambia kuwa kabla ya kuolewa na huyu mumewe aliwahi kupata ujauzito akiwa kidato cha nne miaka 15 iliyopita.
Ilikuwa ni mimba ya mwanafunzi mwenzie wa darasa moja. Baada ya mimba kugundulika, mwanaume alikana mimba na kusema hakuwahi hata kuwa na uhusiano nae.
Aliporudi nyumbani familia yao ilifuatilia hilo suala kwa familia ya kijana ila waliishia kutishiwa maisha (wana kijiuwezo kidogo). Hivyo familia ya binti wakabeba jukumu la kulea hadi binti akajifungua mtoto wa kiume.
Dada alirudi shule, akaolewa na mwanaume mwingine aliyechukua dhamana ya kulea mtoto wa dada kama wa kwake na sasa tumeajiriwa sote kwenye idara moja ya serikali Dar.
Sasa shida imekuja kuwa yule mzazi mwenzie na huyu dada kafariki na kwa bahati mbaya hakubahatika kupata mtoto. Hivyo familia ya mwanaume wameanza kuwasumbua familia ya dada kuwa yaishe na wanataka wamchukue mtoto, kwa kifupo they have accepted the responsibility.
Wazazi wa dada wametia ngumu na hao ndg wa mwanaume wamekuwa tubu karaha.
Maswali magumu
1. Anaanzaje kumwambia mtoto kuwa yule sio baba mzazi? (mtoto hajui kama yule sio baba mzaz)
2. Je ile familia ya mwanaume wanayo haki ya kudai mtoto baada ya yote waliofanya? (kuna ushahidi wa serikali za mitaa kiumeni juu ya kilichojiri)
3. Mbona kuja kudai mtoto baada ya wao kupoteza mtoto wao? Maana huyu mtoto wameanza kumpenda kama plan B.
Naombeni msaada wa mawazo kwa maana nilishindwa kumjibu, nimemwambia kesho ntakuja na ushauri kamili.
Cc: Heaven on Earth, lara 1 , Nyani Ngabu , The Boss , Kongosho
 
Minapita tu.
Subiria hao uliowa quote waje wakushauri.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Mungu hangempa huyo jamaa mtoto mwingine wakati alishamkataa mmoja na hskuwa na sababu ya kumkataa. Hivyo basi, huyo dada na wazazi wake waendelee kukataa kata kata, na kusema walikuwa wanajaribu kumbambikiza jamaa (marehemu) kwa kuwa waliona ana nafasi na wako hawakuwa na uwezo. Pili, mtoto ataelezwa ukweli wote atakapopevuka akili.Kwa sasa asipandikizwe mambo hayo yasije kumharibu akili.
 
Mbona mimi hujani CC Karanja 007?
 
Well said mkuu,ndugu Prince chukua huu ushauri utafaa sana.
 
Baada ya yote hayo kutokea leo hii ndo wamejirudi walikua wapi siku zote hizo chukua ushauri wa Zikomo mfikishie huyo dada,kweli malipo duniani.
 
Karanja hata mimi nisinge ku cc
Hahahaaaaaaaaa unaogopa manyanga nitakayomwaga au vipi?,haya ngoja nitoe ushauri kwa mama anaeibiwa mumewe,ni hivi wewe mama huna haki ya kuingilia mahusiano ya mme wako,kwa kufanya hivyo unaweza ukafukuzwa na talaka juu halafu mrembo akaletwa hapo nyumbani,kumbuka wewe mama ushachakaa na mvuto hauna,na mimi nakosa mzuka nikiona tumbo linanaburuza chini,maziwa yako yamekuwa kandambili yaani nashidwa kukukula au kukunanihii na huku nina mtima umejaa top au unataka nije nibake wanawake mtaani coz siku hizi tunaona ze bunyoz na ze nyambaz na mbunye nje nje,nisije baka, tulia wewe ajuza nitakununulia VIBRATOR NA DILDO ili ujitoe UGWADU.
 
Ndio maana nkasema nisingeku CC mtu kama wewe
 
kama ni kazi ya serikali mwambie aendelee na kazi tu...maana hii ya awamuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kuna umri ambao mtoto anamuhitaji baba ili amsaidie aweze kutimiza ndoto zake. na katika kipindi husika baba anapomkataa mtoto huwa inaumiza sana.

na hapa baba alimkataa mtoto akingali mimba na hao ndugu wslimkataa mtoto akingali mimba , wao walitegemea mtoto wao atapata mwanamke mwingine ambaye atamjengea mtoto wao jina.

Mungu naye analipa hapa hapa duniani kwa kumtwaa mtoto wao kabla ya kutengeneza uzao.ndio hapo wanamkumbuka mtoto ambaye walimkataa.

Wanachotaka wao ni mtoto wa kuendeleza jina la marehemu wao na wameshasahau kuwa mtoto kwa sasa yuko chini ya baba ambaye amejitolea kuchukua jukumu la kutimiza ndoto za mtoto baada ya kukataliwa na baba mzazi.

Ushauri wangu huyo mtoto aendelee kulelewa na baba mlezi wala asimtangishetangishe. kama angeitoa ile mimba wao wangedai nini?

Rafiki yako asimkarahishe mume mpaka akajuta kumuoa na kumsaidia kumlea mtoto halafu leo anamuhamisha, ndiyo yale yale ya watu kukataa kuoa single mama yatajidhihirisha.

kwa hiyo awapotezee kama walivyompotezea kwani mwosha huoshwa.
 
Aache kuwaendekeza kama walishamkataa mtoto na mtu mwengne akaamua kutake full responsibility ampe heshima yake huyo mume wake na awafukuzie mbali...
Yale yale ya single mothers duh
 
EE UMEKIRI UNAKULA SEHEM ZA MWINGINE ASEE
Hapana mkuu, hata sitembei naye, she just happened to be a good friend of mine na hata mumewe amekuwa ni mshikaji wangu na hata family outings huwa tunafanya pamoja. Mind you na mie nina mke na watoto wawili wa kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…