raysonkalugendo
Member
- Apr 15, 2013
- 12
- 2
Mimi nimemaliza chuo kikuu cha dodoma(UDOM) degree ya computer science nimetafuta kazi mpaka nimekata tamaa kwani sasa ni mwaka unaisha sijapata ajira, nimesambaza aplication zangu kwenye makampuni bila mafanikio na ninaendelea kufanya applicatiion online kwani sijui siku yangu ya kufanikiwa ni lini.naombeni msaada wenu wana JF.Ninaishi Mwanza kwa yoyote mwenye msaada anijuze kwani niko vizuri kwenye software & hardware Instalatiion,Network configuration,computer maintanance,website designing,logos,banners,flyers,bronchure.