Kwanini uiite Instagram ya kibongo hatujafikia hatua ya kuwa creative na kuw unique with confidence?
Inaitwaje? Niicheki play store niipakue sasa hivi.
Felix Joseph Mchunguzi kazi yako si mbaya isipokuwa badili jina la app yako na kuipa jina lolote litalokutambulisha...
Pia kama unataka reviews kutoka sehemu mbalimbali ulinwenguni basi si maeneo yote ambayo mtu anaweza kupakua hiyo app...
Naona kama baadhi ya maeneo imezuiliwa...