Msaada wa mawazo kwenye haya mahusiano yangu

Nakubali na wazo lako mkuu lakini huoni kama kuna hatari pia ikiwa anajua kabisa mipango yetu ni ndoa. Ndugu zangu karibia wote wanamfahamu. Hivi kweli bado ajanielewa tu
 
Huyo atakuwa na mtu wake tena anampenda kuliko wewe achana nae hamko safari moja huyo tena anajua ata ukimwacha hana cha poteza wala cha kumuumiza juu yako. Jiongeze kiongozi
 
Huyo atakuwa na mtu wake tena anampenda kuliko wewe achana nae hamko safari moja huyo tena anajua ata ukimwacha hana cha poteza wala cha kumuumiza juu yako. Jiongeze kiongozi
Nashukuru mkuu
 
Amekupanda kichwani na anajua unampenda zaidi ya anavokupenda wewe!

"Usioe mwanamke unaempenda wewe bali oa mwanamke anaekupenda wewe" vinginevyo unajitafutia presha maishani tu.
 
Hayo yamenikuta.....moyo unaniuma but imenisaidia kujua kumbe alkuwa ananichiti ndio maana simu yake aliiweka mbali na hataki niiguse....

Mapenzi yakifika hapo ujue yapo ICU.....anaoshwa na x wake....namm ilkuwa hvohvo,alisema washaachana kumbe wanakulana......yaan kudeti Hawa wasio bikra n sawa na kuoa mwanamke wa mtu...jiandae kwa lolote Ila hapo hakuna ndoa yenye amani...

Kuchitiwa kunaumiza Sana
 
🤣 🤣 🤣 🤣 yaani we kijana umenichekesha ivi kweli yupo ally, Moses, Jackson, na baba nanii yule mke wake ni mwalimu msg zinaingia muda wooote akupe simu ili?? Ushauri wa ujenzi si alikuwa anatoa kwa mpenz wake yule aloanza kujenga kabla yako🤣🤣🤣🤣🤣
 
bora utatue matatizo kabla ya ndoa kuliko baada ya ndoa, kuachana nae pia ni kutatua tatizo, sio vizuri kukagua simu ya mpenzi wako lakini sio mpaka level ya kukuzuia kuitumia pale inapobidi, ni hatari sana, kama yupo tayari kuachana naww kuliko utumie simu yake bora uachane nae tu.
 
Mbona mi nlikuwa nacheat ila nlivoolewa nikaacha usimkatishe tamaa mwenzio
 
Yaani wewe dada nahisi una connection kabisa na huyu mchumba wangu hapo kwenye ujenzi aisee
 
Yaani wewe dada nahisi una connection kabisa na huyu mchumba wangu hapo kwenye ujenzi aisee
Ebu kwanza tulia....ni mchumba au ni wapenzi kama alivyo na wapenzi wengine wasojulikana? Maana mnapendaga kupandisha vyeo mahusiano kabla ya kufuata taratibu
 
Achana naye mara MOJA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…