Msaada wa mawazo Kwa mwanafunzi wakuu

Msaada wa mawazo Kwa mwanafunzi wakuu

NYOLODO

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2020
Posts
11,362
Reaction score
25,906
Nina mdogo wangu amemaliza elimu ya kidato cha sita mwaka huu. Anasubiri kuomba nafasi kusoma chuo. Amemaliza PGM wakuu naombeni mawazo yenu asome kozi gani.
Yeye anapenda mambo ya anga. Nmepitia website ya NIT hapa ameichagua "aircraft maintainance engeering". Nimejaribu kutafuta prospectus nimekosea. Yoyote mwenye uzoefu na hii kozi au mawazo bora zaidi ya haya wenye uinjinia huko na mambo mengine.
Nitashukuru Sana endapo nikipata msaada wenu kimawazo wajuvi wa haya utakaonitosheleza namna ya kufikiria
 
Wasubiri wahanga watakuja kukujibu,ila kweli Iyo program nit ipo imeanzishwa mwaka huu itaanza na wanafunzi kumi kama sijakosea so ajiandae Maana ushindani utakuwa mkubwa sana
 
Wasubiri wahanga watakuja kukujibu,ila kweli Iyo program nit ipo imeanzishwa mwaka huu itaanza na wanafunzi kumi kama sijakosea so ajiandae Maana ushindani utakuwa mkubwa sana
Ukiwaita wahanga mkuu wataminya. Naomba nikiri kuwa hakuna muhanga waje tu
 
Back
Top Bottom