Q Qtee Member Joined Sep 20, 2014 Posts 52 Reaction score 6 Mar 12, 2016 #1 Habari wanajf, nahitaji kufanya biashara ya kutengeneza na kuuza chaki naombeni kujuzwa chochote mnachofahamu kuhusu biashara hii. Natanguliza shukurani zangu
Habari wanajf, nahitaji kufanya biashara ya kutengeneza na kuuza chaki naombeni kujuzwa chochote mnachofahamu kuhusu biashara hii. Natanguliza shukurani zangu