Toka jana najaribu kuwalipia vijana wangu malipo ya chuo lakini sijafanikiwa. Mmoja naomba UDSM na nimelipia kulingana na utaratibu waliouweka wao, lakini ukiingia kujaza naambiwa sijalipia. Na mwingine wa SUA ndio Kabisaa bank zote za CRDB dar es salaam wanasema mfumo haukubali. Nichoomba mwenye namba za simu za kiganjani za hivyo vyuo husika anisaidie. Maana za mezani zinaita tu hazipokelewi.