Msaada wa Mawasiliano ya maafisa mikopo wa Bank ABC makao makuu

mtanzania10

JF-Expert Member
Mar 23, 2014
271
81
Mwenye namba ya hawa watu wa Bank ABC makao makuu wanaohusika na utoaji wa mikopo naomba anisaidie. Wamenikata miezi 3 pesa bado sijapata.

Mawakala wao wa huku majibu wanayonipa hayaniridhishi nikiwaomba namba za wakubwa wao wa kazi hawataki kunipa.
 
Back
Top Bottom