Msaada wa mawasiliano shule ya Ilboru Arusha

Moses Rex

Member
Joined
Jun 9, 2017
Posts
10
Reaction score
0
Mnisaidie mawasiliano ya shule ilboru arusha ikiwezekana namba ya headmaster
 
Hongera Kwa kuchaguliwa special skuli
 
Hebu google hapo dakika zero we kipaji wa ilboru.
 
Hii hapa ni form ya Kujiunga Ilboru.

Fanya hima uidownload, kisha mawasiliano yake utayapata kwenye ukurasa (page) ya kwanza.
 

Attachments

Hii hapa ni form ya Kujiunga Ilboru.

Fanya hima uidownload, kisha mawasiliano yake utayapata kwenye ukurasa (page) ya kwanza.
Mkuu naona upo moto katika kumfanyia wepesi hadi join kuipata [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu naona upo moto katika kumfanyia wepesi hadi join kuipata [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha, Mkuu yatupasa kuwasaidia wenzetu hasa wadogo zetu. Wakasome kwa bidii, ili wasilete kisingizio kuwa Oooh, nilichelewa kupata mawasiliano ya Shule.

Unampa na zaidi ya kile anachokitaka. Ukisoma maelezo yake, huyu anataka kuulizia tu joining. Hakuna kingine.
 
Asante mkuu
 
Hapo ni kitovu cha watu wenye akili zisizo za kawaida hapa tz bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…